Nimekuwekea hapa Video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili Lady Kily ,wimbo unaitwa Narudi kwa Kishindo..Ni Video nzuri hakika utafurahia kuitazama.Bonyeza Play hapa chini