Wasukuma Mpoo!!?? TAZAMA HAPA VIDEO MPYA YA MSANII MAMA USHAURI..INAITWA ABEL..INA UJUMBE MZITO NA WANENGUAJI WAKE NI SHIIDA....
Tuesday, November 03, 2015
Tazama hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili kutoka Shinyanga Mama Ushauri,wimbo unaitwa Abeli..ni wimbo mzuri na umebeba ujumbe mzito wa mapenzi...Bonyeza play hapa chini..
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin