Hii hapa video mpya ya Gwiji wa Nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja inaitwa Kabhula. Miongoni mwa ngoma kali alizoziachia Aprili ,2018. Video imetengenezwa katika studio za Asili Yetu Africa kupitia kwa Director Gooder x Mong.
Itazame hapa chini