Video Mpya : MWANA FA Ft MAUA SAMA - HATA SIELEWI



Baada ya hivi karibuni kufanya vizuri na ngoma ya Upo Hapo ambayo yumo yeye, A.Y na Fid Q, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA au Binamu ameachia video yake mpya ambapo katika wimbo huo amemshirikisha mwanadada, Maua Sama.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527