Video Mpya : MAMA USHAURI - DHAMBI....INAHUSU HAKI ZA WANAWAKE...SEBENE KALI LA ASILI
Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri ' Full Melody Classic' inaitwa Dhambi. Wimbo unahusu haki za wanawake duniani. Video imetengenezwa katika studio za Asili yetu Africa. Nyimbo hii imeimbwa kwa Lugha ya Kisukuma lakini kutokana na ubora wa studio hii,maneno yanayosikika katika video hii yametafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili

Bonyeza hapa chini kutazama video hii


Theme images by rion819. Powered by Blogger.