ORODHA YA NCHI 15 AMBAZO WAFANYAKAZI WANALIPWA MSHAHARA MDOGO ZAIDI DUNIANI


Hakuna ambaye anapenda kipato kidogo na hata Tanzania hivi juzi tumesikia chama cha wafanyakazi ‘TUCTA’ kudai ongezeko la kima cha chini ili kifikie 750,000.

Wakati tukilisikilizia hilo kwa Tanzania, nimekutana na hii orodha ya nchi ambazo kuna ujira mdogo zaidi huku ikitajwa fedha ambayo mtu anaikusanya kwa mwaka mzima

15. Madagascar – $490 sawa na takribani Tsh 1,102,500 kwa mwaka 
14. GHANA – $488 SAWA NA TAKRIBANI TSH 1,098,000 KWA MWAKA 

13. TAJIKISTAN – $487 SAWA NA TAKRIBANI TSH 1,095,750 KWA MWAKA

12. THE JAMHURI YA DEMOKRASIA YA CONGO – $472 SAWA NA TAKRIBANI TSH 1,062,000 KWA MWAKA

11. LIBERIA – $435 SAWA NA TAKRIBANI 97,8750 KWA MWAKA

10. MALAWI – $412 SAWA NA TAKRIBANI TSH 927,000 KWA MWAKA

9. GUINEA-BISSAU – $372 SAWA NA TAKRIBANI TSH 837,000 KWA MWAKA 

8. VENEZUELA – $361 SAWA NA TAKRIBANI 812,250 KWA MWAKA 
7. GAMBIA – $317 SAWA NA TAKRIBANI TSH 713,250 KWA MWAKA
6. TANZANIA – $240 SAWA NA TAKRIBANI TSH 540,000 KWA MWAKA
5. BANGLADESH – $228 SAWA NA TAKRIBANI TSH 513,000 KWA MWAKA
4. KYRGYZSTAN – $181 SAWA NA TAKRIBANI TSH 407,250 KWA MWAKA
3. CUBA – $108 SAWA NA TAKRIBANI TSH 243,000 KWA MWAKA
2. GEORGIA – $96 SAWA NA TAKRIBANI TSH 216,000 KWWA MWAKA
1. UGANDA – $22 SAWA NA TAKRIBANI TSH 49,500 KWA MWAKA

Source: therichest.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527