Weka Pembeni Mabasi ya Mwendo Kasi,Wachina Wametengeneza Basi Linalopita Juu ya Magari Mengine,Tazama Picha na Video


Kadri Teknolojia inavyozidi kukua kila siku katika upande wa usafirishaji ndivyo ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinavyozidi kupatiwa majibu, kama ilivyo kwa Tanzania ilivyoleta mabasi yaendayo haraka ili kuepuka foleni, ndivyo hivyo imetokea Beijing China ambapo wao wameweza kutengeneza basi la umeme lenye uwezo wa kupita juu ya magari mengine.










Kutokana na China kuwa nchi yenye watu wengi zaidi Duniani, hivyo basi hilo linalotajwa kubeba watu 1200 kwa mara moja, linatajwa kuwa ufumbuzi sahihi wa msongamano wa magari barabarani, basi hilo lilifanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza May 19 2016.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527