NGOMA KALI YA ASILI: MANG'WENG'WE- UHONDO WA PIPI
Nimekusogezea ngoma ya Msanii wa nyimbo za asili Mang'weng'we,ngoma inaitwa Uhondo wa Pipi..Video hii ni kitambo kid…
Nimekusogezea ngoma ya Msanii wa nyimbo za asili Mang'weng'we,ngoma inaitwa Uhondo wa Pipi..Video hii ni kitambo kid…
Msanii wa nyimbo za asili Mwanakwela kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa Maisha.Tazama video hii hapa chini.…
Ni Weekend Nyingine Mpenzi Msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa Nyimbo za Asili tunakutana kwa ajili ya kup…
Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuleta nyimbo za asili kila weekend..leo tunakukutanisha msanii Ng'wana Ishudu kutoka Ilol…
Ni kawaida ya Malunde1 blog kukuletea nyimbo za asili kila weekend,leo tunakuletea Ngoma ya asili kutoka kwa manju maarufu k…
Kupitia kipengele cha Nyimbo za asili,leo Malunde1 blog inakukutanisha na msanii wa nyimbo za asili za Kisukuma wenyewe wa…
Msanii Nyanda Madirisha "The Super Star" enzi za uhai wake
Mr Bicon Nyanda Madirisha enzi za uhai wake Kuna uvumi kuwa msanii wa Nyimbo za asili Nyanda Madirisha “The Super Star” am…
Ni weekend nyingine tunakutana katika kipengele muhimu cha nyimbo za asili kupitia Malunde1 blog. Tumesafiri mpaka Shinyan…
Karibu sana mpenzi wa msomaji wa Malunde1 blog hasa wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili ambazo kwa namna ya pekee kabisa huwa …
Weekend hii tunakosegezea ngoma ya asili kutoka kwa walimu wa Bukoba,ngoma inaitwa Nshomile..Tazam hapa chini video hii kali
Leo nakupeleka kwenye harusi ya Kisukuma...Tazama video ya Msanii Mhanganya akitoa burudani katika harusi ya Mzee Sasu..Bonye…
Hii ngoma ya Sindimba kutoka Mkunwa - Mtwara, ngoma ya asili kwa kabila la kimakonde nchini Tanzania.Tazama hapa chini
Ninayo Hapa Ngoma ya Wabena..Bofya hapa chini kutazama video hii kali
Leo nakukutanisha na manju Itendele Mchenya kutoka Tabora,anakualika kutazama video ya wimbo wake unaitwa Harusi ya Mzee Kulw…
Ninayo Video ya msanii Gumha Shagembe unaitwa Harusi ya Mzee Sahani.Tazama hapa chini video hii nzuri haswaa
Ni utaratibu wa Malunde1 blog kukusogezea nyimbo za asili...Leo tunakukutanisha na Manju Kutoka Tabora, "Itendele Mc…
Ninayo hapa ngoma ya msanii wa nyimbo za asili Mama Setela kutoka Tinde Shinyanga inaitwa Bhusabi..Ni ngoma kali itazame hap…
Malunde1 blog inakualika kutazama Video mpya ya msanii wa nyimbo za asili "Subhi Funuki",wimbo unaitwa "Har…
Kama kawaida ya Malunde1 blog kila weekend kukusogezea nyimbo za asili...Leo tunakukutanisha na msanii "Nyakabaya"…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok