TAZAMA HAPA NGOMA YA MANJU "NG'WANA ISHUDU" - HARUSI YA LUCASNi weekend nyingine tunakutana katika kipengele muhimu cha nyimbo za asili kupitia Malunde1 blog. Tumesafiri mpaka Shinyanga vijijini na kukutana na manju "Ng'wana Ishudu".Tumia dakika chache kutazama video yake akitoa burudani katika harusi ya Lucas.Shuhudia hapa harusi ya Kisukuma kupitia kwa gwiji huyu wa nyimbo za asili.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post