Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aaron Mbogho
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kujiuzulu. Chama tawala nchini Africa kusini cha ANC, kimepokea tangazo la …
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia.
Imeelezwa kuwa watu wengi wanaendelea kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutokana na kuanza mahusiano ya kimapenzi…
Rais John Magufuli amemteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa T…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu katika …
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani) jana (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Ma…
Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima ambapo waamini wanapakwa majivu yanayowakumbusha kwamba, wao ni mavumb…
Mwanasheria mkuu wa Kenya Professa Githu Muigai Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu…
Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Heather Holland, 38, ambaye alikuwa mwalimu amefariki dunia baada ya kushindwa kun…
JUKWAA la Nishati Tanzania linatarajia kutoa semina kwa wabunge ili wapate uelewa wa nishati na changamoto zake, watakapokuwa…
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimzawadia Saidi Abdallah Popote wa Tabata, Dar es Salaam simu aina …
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akikagua Mradi wa visima 20 eneo la Kisarawe II katika mji wa Kigamboni jijini Dar es…
Mratibu wa Kudhibiti Ukimwi mkoa wa Mwanza Dk. Pius Masele. *** Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initi…
Asa Mwaipopo Kampuni ya madini ya Acacia imemtangaza aliyekuwa meneja mkuu wa uendelevu, Asa Mwaipopo kuwa mkurugenzi m…
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Jumaa Aweso, (aliyesimama), akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa majumuisho y…
Wanachama wa ANC waliogawanyika Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Meneja wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoani Mwanza, Goodluck Lyimo amebainisha idadi ya kaya zinazofanyiwa zoezi la utafiti w…
China imeridhia kutoa msaada wa Dola za Marekani Milioni 62 sawa na Shilingi Bilioni 138.3 za Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa…
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok