WAZIRI MKUU AKABIDHI GARI MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa( Aliye vaa miwani) jana (Jumanne, Februari 13, 2018) amekabidhi gari kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Rogers Siyanga kwa ajili ya Mamlaka hiyo. Makabidhiao hayo yamefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Theme images by rion819. Powered by Blogger.