Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI KATAMBI AWASILISHA TAARIFA YA NIDA NA UHAMIAJI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) na Masuala ya Idara ya Uhamiaji.

Waziri Katambi amewasilisha taarifa hizo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama,Bungeni jijini Dodoma.

















Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com