Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : NELEMI MBASANDO - WIVU


Msanii wa muziki wa asili na utamaduni, Nelemi Mbasando, ametambulisha rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Wivu” sambamba na video yake ya ubora wa 4K, ikiwa ni kazi inayobeba ujumbe wa kuonya kuhusu madhara ya wivu katika jamii na mahusiano.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com