Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NPCC YATOA ELIMU YA UDHIBITI WA SUMU KUVU KITETO

Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kudhibiti matukio ya sumu kuvu kwa wananchi wa Kata ya Kibaya wilaya ya Kiteto, Mkoa wa manyara (hawapo pichani), mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Afisa Afya wa Wilaya ya Kiteto, Kennedy Mlapwa (kulia), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy (aliyekaa kushoto) kwa ajili ya kufungua mafunzo ya kudhibiti matukio ya sumu kuvu kwa wananchi wa Kata ya Kibaya Wilaya ya Kiteto, (hawapo pichani). Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Mtumishi wa Mamlaka, Emmanuel Haule, akiwasilisha mada ya utokeaji wa sumu kuvu na jinsi ya kudhibiti sumu kuvu nchini kwa wananchi wa Kata ya Kibaya Wilaya ya Kiteto, (hawapo pichani), katika mafunzo ya kuthibiti matukio ya sumukuvu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.

Washiriki wa mafunzo wakifuatilia mada katika mafunzo ya kuthibiti matukio ya sumu kuvu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy, akiwasilisha mada ya namna ya kuepukana na matukio ya sumu mbalimbali katika jamii kwa wananchi wa Kata ya Kibaya Wilaya ya Kiteto (hawapo pichani), mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili29, 2026. 
Mshiriki akiuliza swali kwa Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy (aliyesimama kushoto), katika mafunzo ya kuthibiti matukio ya sumu-kuvu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Mtumishi wa Mamlaka, Emmanuel Haule, akiwasilisha wasilisho la hali ya matukio ya sumu nchini kwa wananchi wa Kata ya Kibaya Wilaya ya Kiteto wakati wa mafunzo ya udhibiti wa matukio ya sumu kuvu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Washiriki wakiuliza maswali kwa Mtumishi wa Mamlaka, Emmanuel Haule (hayupo pichani), kuhusu hali ya matukio ya sumu nchini wakati wa mafunzo ya kudhibiti matukio ya sumu kuvu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.
Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Yohana Goshashy (aliyekaa katikati), akiwa pamoja na wananchi washiriki wa mafunzo hayo yakuthibiti matukio ya sumu kuvu nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Maktaba, mkoani Manyara, Aprili 29, 2026.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com