Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHULE YA SEKONDARI LITTLE TREASURES INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO – FORM ONE 2026

Unatafuta shule inayojenga maarifa, maadili, na uongozi wa kesho?

Little Treasures tunakukaribisha ujiunge na familia ya wanafunzi wanaotengeneza mustakabali bora.

Tunawapokea wanafunzi wa Form One 2026 kupitia usaili unaoendelea sasa.

Mazingira bora ya kujifunza, walimu makini, nguvu ya taaluma na malezi yanayomjenga mwanafunzi kimwili, kiakili na kimaadili.

Masomo ya Pre–Form One, Computer Studies na English Course yameanza tayari.

📍 Little Treasures Schools – Shinyanga

📞 0745602164 / 0743932543

Prepare to Change the World

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com