Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MKOMBE LOGISTICS YAENDELEA KUUNGANISHA BIASHARA AFRIKA KWA KASI NA UHAKIKA

 

Tunakupeleka Mbali Zaidi — Haraka, Salama na kwa Gharama Nafuu!

Katika dunia ya biashara ya kisasa, muda ni mali.
MKOMBE CLEARING & FORWARDING LOGISTICS tunakupa suluhisho kamili la usafirishaji na forodha, likikusaidia kufikia masoko mapya ndani na nje ya Afrika kwa ufanisi na uhakika.

Kuanzia Afrika Kusini hadi Tanzania, na maeneo mengine barani Afrika — tunahakikisha mzigo wako unasafirishwa kwa usalama, kasi na weledi wa hali ya juu.

🌍 Huduma Zetu Kuu

Customs Clearance (Forodha)
Tunashughulikia taratibu na nyaraka zote za forodha kwa haraka, kwa kufuata sheria na bila usumbufu wowote.

Freight Forwarding (Usafirishaji wa Mizigo)
Tunatoa huduma za usafirishaji wa anga, baharini na barabarani kwa mizigo midogo na mikubwa, kwa gharama shindani.

Import & Distribution (Uagizaji na Usambazaji)
Tunapokea, tunasambaza na kuhakikisha mzigo wako unafika mlangoni kwa wakati, bila kuchelewa.

📦 Huduma za uhakika kutoka Johannesburg hadi Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza na kwingineko.
Mizigo yako iko salama mikononi mwa wataalamu.

📞 Wasiliana Nasi Leo

📱 +27 60 474 9717
☎️ +27 11 392 5650
🇹🇿 +255 746 209 547
🌐 www.mkombeclearing.com
✉️ info@mkombeclearing.com

MKOMBE LOGISTICS

Mizigo Yako, Jukumu Letu!

Quality Always | Speed. Precision. Delivered.










Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com