Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha & Video : MAHAFALI YA PILI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI NHELEGANI MANISPAA YA SHINYANGA



Mahafali ya pili ya darasa la saba yamefanyika katika Shule ya Msingi Nhelegani, iliyopo Manispaa ya Shinyanga, yamefanyika Septemba 24, 2025. 

Katika hafla hiyo, jumla ya wanafunzi 128 wamehitimu elimu ya msingi, wakiwemo wavulana 52 na wasichana 76, wakiwakilisha jitihada za shule kuhakikisha elimu bora kwa wote.

Shule ya Awali na Msingi Nhelegani ilifunguliwa 1970. 

TAZAMA VIDEO































Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com