Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MIAKA 5 YA UONGOZI MADHUBUTI, UADILIFU, UNYENYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA

Malunde 1 blog Leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com