Mkombe Trading & Logistics Company, yenye makao yake makuu Johannesburg, Afrika Kusini, ni kinara katika huduma za usafirishaji na usimamizi wa mizigo ndani ya Afrika Kusini na nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia na Tanzania
Tunatambua changamoto za biashara za mipakani na kimataifa, na kwa sababu hiyo, Mkombe ni mshirika bora wa biashara yako kwa ajili ya kupanua wigo na kufungua fursa mpya barani Afrika
Tuna Utaalam Katika
✔️ Usafirishaji wa mizigo ya kawaida na mizigo mizito
✔️ Clearing and Forwarding (Huduma za Forodha)
✔️ Suluhisho kamili za minyororo ya usambazaji (Supply Chain Solutions)
✔️ Usafirishaji wa mipakani Kusini hadi Afrika Mashariki
✔️ Ushauri wa kitaalamu kuhusu biashara na usafirishaji
Tukabidhi Mzigo wako sasa!!
Ikiwa unahitaji kusafirisha mizigo, huduma za clearing & forwarding, au suluhisho kamili za usafirishaji kutoka au kwenda Afrika Kusini, wasiliana nasi leo
📍 Mkombe Trading & Logistics Company
7 Taljaard Road, Bartlett, Boksburg
Johannesburg, South Africa
📞 Simu / WhatsApp: +27 60 474 9717
🌐 Website: www.mkombeclearing.com
✉️ Barua pepe: info@mkombeclearing.com
Social Plugin