Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abubakar Gulamhafiz Mukadam, amejipanga kurejea kwenye uongozi wa kisiasa kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Mjini, Manispaa ya Shinyanga.
Abubakar amechukua fomu na kurejesha katika ofisi ya kata ya Mjini iliyopo tawi la Mboya.
Social Plugin