Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HATIBU MGEJA ACHUKUA NA KUREJESHA FOMU YA UDIWANI NGOKOLO SHINYANGA MJINI


Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hatibu Mgeja, leo Juni 30, 2025, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ili kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com