KADA WA CCM NYACHIRO MAGOGGO AOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Monday, June 30, 2025
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyachiro Maiga Magoggo ameonesha dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini.
Magoggo amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin