
Mhitimu ngazi ya Diploma Suzy Luhende Butondo akipokea cheti chake

Wahitimu wa ngazi ya Diploma Chuo cha Philadelphia Bible College kilichopo Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga

Mkuu wa chuo cha Calvary Reform Bible Institute Tanzania Lawrence Daffa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya kwanza Philadelphia Bible College.

Wahitimu wakiingia ukumbini

Mkurugenzi wa chuo cha Philadelphia Bible College Askofu Baraka Laizer

Wahitimu wa chuo cha Philadelphia wakiingia ukumbini

Wageni waalikwa wakishuhudia matukio mbalimbali katika mahafali ya kwanza ya chuo cha Philadelphia


Sherehe ikiendelea


Zoezi la kupokea vyeti likiendelea George Kulwa akipokea cheti

Zoezi la kupokea vyeti likiendelea Dionisio Kaijage akipokea cheti


Mhitimu Suzy Butondo akikata keki

Mwandishi wa habari wa Jambo FM Eunice Kanumba akimlisha keki Mhitimu wa ngazi ya Diploma Suzy Butondo


Wahitimu wakipongezana kwa kulishana keki

Wahitimu wakifanyiwa maombi maalum na viongozi wa dini ili kuwawezesha kwenda kufanya kazi ya Mungu vizuri. 

Social Plugin