Wimbo Mpya : NG'WANA KANGWA - AZAT HOTEL


Msanii Ng'wana Kang'wa anakualika kusikiliza wimbo wake kuhusu AZAT Hotel


Umesikia kuhusu Hoteli Mpya ya AZAT HOTEL iliyopo Tinde Shinyanga?

Miongoni mwa huduma zinazopatikana AZAT HOTEL ni malazi ,vyakula, vinywaji, Car Parking, ukodishaji wa Tents kwa ajili ya shughuli mbalimbali.

Hakika AZAT HOTEL ni sehemu sahihi yenye mazingira yaliyotulia, huduma zinatolewa kwa gharama nafuu kabisa, wahudumu wakarimu kweli kweli, wanajali wateja , vyumba bora, rafiki na vyenye viwango bora!!

AZAT HOTEL IKO WAPI?

AZAT HOTEL inapatikana Tinde jirani na kituo cha Mzani wa Tinde wilayani Shinyanga pembezoni mwa Barabara Kuu ya Shinyanga.

Mawasiliano ya AZAT HOTEL +255 742 565 555

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post