NILILAZWA KITUO CHA POLISI KISA KAMARI ILA SASA NASHINDA SANA BETTING!

Naitwa Eliudi kutoka Mwanza, Tanzania, mwaka 2020 nilibahatika kupata pikipiki yangu ya kwanza niliyoipambania kwa mkataba wa mwaka mmoja hatimae ikawa yangu, nilifurahi sana kumaliza marejesho ya Boss na kuwa huru.

Bahati nzuri nilikuwa tayari nishatengeneza jina, wateja wengi kwenye kijiwe nilichokuwa nategea abiria waliniamini sana, mara nyingi ningepigiwa simu nifuate mzigo sehemu au nikamchukue mtu mahali yaani ilikuwa kazi juu ya kazi. 

Yote ilitokana na uaminifu wangu katika kazi ambao niliujenga kwa miaka, hata hivyo, siku zote hizo nilikua mlevi wa kubeti, huku kwetu tunaita bonanza (kimchina).

Nakumbuka ilikuwa Desemba 2021 kuna mteja alinituma mzigo wa vifaa vya umeme wenye thamani ya Sh900,0000 niupeleke kijiji kimoja halafu huyo mteja atanipatia hela nimletee Boss.

Ndugu yangu kubet ni ugonjwa, ikawa nimeingiwa na tamaa nikapata wazo kwanini nisijiazime kama Sh100,000 hivi niichenji na nizungushe kwenye bonanza nipate hela ya kula.

Raundi ya kwanza niliweka 200ײ zenye thamani ya Sh10,000/= nikala kama Sh23,000/= si nikajikuta nimenogewa, niliendelea kutekwa akili nikaendelea kucheza nikajikua Sh700,000 zimeliwa na mkononi nimebakia na Sh200,000 tu.

Nilijihisi kuchanganyikiwa sana, nilifika kwa huyo mteja nikamdanganya kuwa nimezipoteza hela zake, hakunielewa, alinipeleka kituo cha polisi. 

Nilikaa polisi kama siku mbili kisha ikabidi niuze ile pikipiki yangu kwa bei ndogo, nakumbuka niliuza kwenye Sh1.1 milioni, nililipa kama Sh1 milioni ili nitoke, hivyo nikabaki na Sh100,000 tu. 

Ndugu, jamaa na marafiki zangu walisikia kuhusu tukio langu na wengi walikuja nyumbani kunijulia hali, kuna kaka yangu upande wa baba mdogo aliniambia kuwa naweza kubet na kufanikiwa bila kupata matatizo kama niliyokutana nayo. 

Alisema Kiwanga Doctors wanaweza kumsaidia mtu kushinda katika michezo ya betting, alisema yeye hadi amejenga baada ya kushinda zaidi ya Sh29.7 milioni baada ya kutabiri vizuri matokeo ya soka.

Alinipatia namba zao (+254 769 404965) nami nikawaasiliana nao, kwa kweli naweza kusema wanaijua kazi, kwani nilianza kubeti hasa matokeo ya EPL na kufanikiwa na sasa niweza kununua pikipiki zangu tatu. 

Nikikumbuka tukio la kwanza la kupelekwa polisi na nilipo kwa sasa kwa kweli nina kila sababu ya kushukuru. 

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto. 

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache. 

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake. 

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post