AJIZAWADIA MCHONGO JACKPOT YA 250M TOKA BETWAY SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kwa mara nyingine tena mkoa wa Ruvuma umejipatia mshindi wa Mchongo Jackpot ya Shillingi 250,000,000.00 baada ya Bernard M. aliyejinyakulia ushindi huu Disemba 2023 na wakati huu ni Peter L. kutoka Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kupitia kampuni ya michezo ya kubashiri ya (BetwayTanzania).

Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yenye kiasi hicho cha fedha katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za Betway Tanzania jijini Dar es Salaam, Ndugu, Peter L. Milionea huyo mpya amesema “Imekuwa kama ndoto kupata kiasi hicho cha fedha kwenye siku yangu yakuzaliwa”, ambacho anadai hakutegemea hata siku moja kama angeweza kuja kuwa mshindi na kuingia katika kundi la matajiri nchini huku akiwasisitiza wananchi wengine kushiriki katika kubashiri na michezo mingine inayoendeshwa kupitia kampuni hiyo ya Betway Tanzania.

Ameushukuru uongozi mzima wa kampuni ya (Betway Tanzania) kwa ushirikiano waliuonyesha tangu alipotangazwa kuwa mshindi hadi hatua ya kukabidhiwa fedha zake huku akisisitiza kuwa ataendelea kubashiri zaidi na zaidi kupitia kampuni hiyo kwa kuwa inaaminika.

Kwa upande wake Meneja Masoko wa Kampuni ya (Betway Tanzania) Ndugu Calvin Mhina mbali na kumpongeza mshindi huyo amesema kampuni hiyo imekuwa karibu na wateja wake wakati wote huku akisisitiza kuwa ushindi na malipo kwa mshindi huyo ni kielelezo cha uaminifu wa kampuni hìyo.

Amesema wao kama kampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania na Duniani kote ushindi huo unawafanya kuendelea kujiweka mbele zaidi hasa kwa kuwa na promosheni nyingi nzuri zinazomuwezesha mtu kushinda kwa urahisi.

Aidha Meneja Masoko amesisitiza kuwa watu wajisajili kupitia www.betway.co.tz au kwa kupiga *149*33# ilikuendelea kufurahia huduma zetu ikiwemo Jackpot kubwa zaidi maarufu kwa jina Billionea Jackpot inayoweza kumpatia mshindi Billion 5 kwa shillingi 500 tu kwa ajili ya kuwawezesha watu wengi kushinda kwa kuwa ndiyo malengo yao kuona watu wengi zaidi wakishinda.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post