NEC, ZEC WAFANYA KIKAO CHA PAMOJA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa (Mst). Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (kulia) akijadili jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji George Kazi wakati wa kikao cha pamoja baina ya NEC na ZEC kilichokutana leo Disemba 13,2023 kisiwani Zanzibar.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wakiwa katika kikao hicho leo Disemba 13,2023 mjini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wa pili kulia) akiongoza kikao cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji George Kazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa (Mst). Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post