Mhe.Mndeme amefanya ziara hiyo leo , akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwamo Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa.
Amesema wananchi ni vyema wakachangamika fursa zinazo patikana katika kiwanda cha jambo kwa kulima mazao yanayotumika katika uzalishaji ndani ya kiwanda hicho
Pia, Mhe.Mndeme ametoa wito kwa wawekezaji kuwekeza viwanda katika mkoani wa Shinyanga kwa kuwa serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ndani ya mkoa huo
.Naye Mmiliki wa kiwanda cha Jambo Food Products Salum Hamis, amemshukuru mkuu wa mkoa kwa kufanya ziara katika kiwanda hicho huku akieleza mkakati wa kiwanda hicho kuwa ni kutaka kuanza uzalishaji wa bidhaa nyingine ikiwemo juice ya Viazi .
Mmiliki wa kiwanda cha Jambo Food Product Salum Hamis akiendelea kuongoza wageni na kuwaelezea bidhaa mbalimbali zinazo zalishwa katika kiwanda hicho.