KAMPUNI YA JAMBO FOOD PRODUCTS YAINGIZA BIDHAA MPYA SOKONI 'MKATE WA NAZI'


Mmoja kati ya Wakurugenzi wa Kampuni wa Jambo Group Bwn. Nassor Salum Khamis na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Bwn. Nickson George na Wawakilishi kutoka Jambo Bakery wakimkaribisha rasmi mwanafamilia mpya wa kifungua kinywa chetu ambaye ni Mkate wa Nazi kutoka Jambo Group.

Mkate huu wa nazi ni mlaini, mtamu na wenye kukupa Afya sasa rasmi umezinduliwa kwa ajili ya watanzania wote na utapatikana madukani kwa bei ya Tsh/=1500 kwa Mkate mdogo wa Nazi na Mkubwa kwa Tsh/= 4000 ila kwa sasa utapata ofa ya mkate huu kuanzia tarehe 13 hadi 20 ambapo Mkate wa Nazi mdogo, utapata kwa Tsh/=1200 na Mkubwa kwa Tsh/= 3000.

Unapatikana Madukani kote, Jipatie ya kwako na wa familia yako

Kwa maelezo zaidi ya kujipatia mkate huu piga  0673 380 329 au 0742 113 970
Mmoja kati ya Wakurugenzi wa Kampuni wa Jambo Group Bwn. Nassor Salum Khamis akijiandaa kukata utepe wa kumpokea Mwanafamilia mpya wa kifungua kinywa chako ambaye ametambulishwa rasmi leo
Hatimaye mwanafamilia mpya kwenye kifungua kinywa chako ameingia Mjini leo hii kwa furaha na tabasamu lenye utamu usiopimika, fika dukani ulizia Mkate wa Nazi 🍞 kutoka Jambo,Una nazi,laini, mtamu sana unakupa Afya ☕🫖🍊🍉🍌🍋.

Kwa sasa utapata mkate 🍞 huu kwa bei ya Tsh/=1500 kwa Mkate mdogo wa Nazi na Mkubwa kwa Tsh/= 4000 ila kwa sasa utapata ofa ya mkate huu kuanzia tarehe 13 hadi 20 ambapo Mkate wa Nazi mdogo, utapata kwa Tsh/=1200 na Mkubwa kwa Tsh/= 3000.

Unapatikana Madukani kote, Jipatie ya kwako na wa familia yako.

Kwa maelezo zaidi ya kujipatia mkate huu piga  0673 380 329 au 0742 113 970 
Bidhaa Bora kutoka Jambo Food Products LTD

JAMUKAYA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

1/Post a Comment/Comments

  1. Hongera sana kwa kutuletea mkate huu wa unga wa nazi, pia Moorehead mlete mikate na keki za unga wa Almond, korosho na mbegu za maboga, pia msiwe mnaweka sukari kwenye hiyo mikate maana ni mizuri kwa watu wenye kisukari

    ReplyDelete

Post a Comment