MERIDIANBET YAZINDUA DUKA TANDIKA MAJARIBIO

Utaratibu unaendelea kuhakikisha kampuni ya Meridianbet inafikia wateja wake katika sehemu tofauti tofauti ambapo leo kampuni hiyo imezindua duka lake jipya mitaa ya Tandika Majaribio jijini Dar-es-salaam.

Meridianbet wamekuwa wakijitahidi kusogeza huduma kwa wateja wake katika maeneo mbalimbali na sasa imekua zamu ya wakazi wa Tandika ambapo wamepelekea huduma karibu, Ambapo eneo hilo litakua lina huduma nzuri na vifaa vya kisasa vya kubashiria.

Mara kadhaa kampuni hii bora ya michezo ya kubahatisha lengo lake limekua ni kutanua wigo wa huduma jambo ambalo ndani ya jiji la Dar-es-salaam kwasasa wamelifanya kwa ustadi mkubwa kwani wameshafanikiwa kufungua maduka mengi ndani ya jiji hili.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Tukio la uzinduzi wa duka jipya mitaa ya Tandika Majaribio lilisimamiwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Igram na kusema “Ninayo furaha kubwa kuwepo hapa leo kuzindua duka hili hapa Tandika ambapo litawasaidia wateja wetu kubashiri kwa ubora kabisa kwakua tumeleta vifaa bora na tumetengeneza mazingira bora kabisa kwa wateja wetu”.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Aidha mbali na muakilishi wa kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram kuzungumza na wakazi wa eneo hilo wakati wa uzinduzi wa duka, Lakini pia wakazi wa eneo la Tandika wameeleza namna wamefurahishwa na kampuni ya Meridianbet kuzindua katika eneo lao kwakua litawarahisishia kubashiri kwakua walikua wanatoka eneo hilo kwenda sehemu nyingine.

Meridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tu kuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanja wa kutosha.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post