MWERA JAZZ BAND YATAMBULISHWA KWA KISHINDO...KWA AJILI YAKO, SHEREHE ZOTE

Karibu Orchestra  Mwera Jazz Band kwa ajili ya kusherehesha shughuli yako.


Orchestra Mwera Jazz Band inamilikiwa na taasisi ya Professor Mwera Foundation. 

Sisi ni mabingwa wa kunogesha sherehe na kuamsha watu kutoka kwenye viti.

 Tunapatikana Tarime Mjini mkoani Mara. 

 Tunafanya kazi sehemu yoyote,  muda wowote, tunakufikia popote ulipo!

Wasiliana nasi  0768901641 au 0784471566

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post