KENO BONANZA MCHEZO WENYE SIRI KUBWA YA KUSHINDA KIRAHISI

 

Ni kuelekea kwenye mwezi wenye michakato mingi na kuitimiza kabla mwaka haujapinduka, Mwezi Oktoba ni mwezi wa kutoboa tu bila kujali unapitia changamoto gani! Kufanikisha hili Meridianbet imeandaa promosheni inayojulikana kama Keno Bonanza itakayokuwa inatoa zawadi kwa wachezaji watakaokuwa wanacheza mfululizo siku kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili.

Maelezo Mafupi Kuhusu Keno ya Meridianbet.

Mchezo wa Keno ya Meridianbet kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba kuanzia 10 hadi 20 huchezwa kwa kutegemeana na aina ya Keno unayocheza kuna Hot Keno, Keno Instant. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.

Michezo ya Keno ina chaguo la Autoplay unaweza kucheza mfululizo bila kukatisha mzunguko. 

CHEZA HAPA

Jinsi ya Kucheza Keno 

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chagua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection). 

Tiketi za pesa halisi pekee ndio zitakazohesabika katika promosheni hii. Dau la chini kwa tiketi ambalo litahesabika kwenye promosheni hii ni TSh 1,000+

Wateja watavuna alama kwenye kila tiketi na kila bashiri ya TSh 1,000

  •     Kila tiketi ya TSh 1,000 mteja atapata alama 5
  •     Kila dau la TSh 1,000 TZS mteja atapata alama 15 ( endapo ataweka beti dau la TSh 3000, atapata alama 45 ya dau + alama 5 za beti = alama 50) 

Endapo wachezaji wawili wamefungana alama, kucheza mara nyingi mfululizo kutatumika kupata mshindi, mchezaji aliyecheza mara nyingi mfululizo atakuwa mshindi. 

CHEZA SASA

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments