Picha : KAZI YA KUKARABATI BARABARA ILIYOHARIBIWA NA MVUA CHALINZE - SEGERA ENEO LA KIMANGE INAENDELEA VIZURI

Kazi ya ukarabati wa tuta lililomomonyolewa baada ya maji ya Mvua kupita juu katika barabara ya Chalinze- Segera eneo la Kimange inaendele vizuri.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments