MERIDIANBET YAGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU MBILI ZA WANAWAKE

   

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/0oQhce

 

 Kampuni yenye ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet hii leo imeweza kutoa vifaa vya michezo ambavyo ni jezi na mipira kwa timu mbili za wanawake ikiwemo Mbagala Queens pamoja na Allan Queens ya Dodoma ambapo vifaa hivyo vitawasaidia katika shughuli zao za kimichezo kila siku.

 

Zoezi hili liliandaliwa na kuratibiwa na Kampuni hiyo kubwa kabisa ya ubashiri Tanzania Meridianbet baada ya kuona umuhimu wa kuwapa nguvu na kuwekeza kwa wanawake na kuinua tasnia ya michezo kwa ujumla, Meridianbet imeona kuna haja ya kuwaunga mkono wanawake na wasichana kwenye sekta hii ya michezo na haitaishia hapa.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Baada ya kutoa vifaa hivyo,mkuu wa kitengo cha masoko na mwasiliano wa Meridianbet bwana Matina Nkurlu amesema “ Huu ni mwanzo tu tumeona tuanze na timu hizi mbili, Mbagala Queens na Allan Queens ya Dodoma kwakua hawa walitufikia siku chache zilizopita kwa barua rasmi, na kwakua wanajiandaa na mashindano ya ligi ya daraja la kwanza , tukaona tuwatafute na kuwatia nguvu.”

 

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa ndani ya Meridianbet wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya kupokea vifaa hivyo kiongozi wa Allan Queen bi Amina Bakari  amesema “Hili ni jambo ambalo makampuni mengi yanapaswa kuiga na  tunaishukuru sana Meridianbet kwa moyo huu wa kujitolea na zaidi kuona umuhimu wa kusaidia hizi timu za wanawake, Sisi kama ALLAN QUEENS , tunawaahidi tutafanya vizuri kwenye mashindao yanayofuata.

 

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments