MERIDIANBET WAZINDUA DUKA JINGINE POSTA

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/0oQhce

 

Muda wa kupumzika ndiyo kitu Meridianbet hawataki kukisikia ni mwendo wa kuzindua maduka tu na leo wamefanikiwa kuzindua duka lingine maeneo ya Posta ambalo litakua na michezo yote ya kubashiri, Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA kuliko wengine kwenye michezo yote kuanzia Mpira wa miguu, Kikapu, Wavu, Tenesi na mingine mingi.

Duka hilo ambalo limezinduliwa mtaa wa Jamhuri Posta ni moja kati ya maduka ambayo yatakuwa na huduma bora kabisa huku kukiwa na mashine 40 za sloti ambazo zimesambazwa kwenye maduka takribani yote ambazo ni aina ya IMPERA, IGT.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Martina Nkurlu ambaye ni mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano  ndani ya Meridianbet amesema kuwa wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Wakazi wa Jamhuri Posta wamefurahi sana kwa ujio wa duka hilo jipya la kubeti ambalo limezinduliwa hii leo na Meridianbet  kwani litawasaidia kwenye shughuli zao za kubetia kila siku kabla ligi hazijamalizika na mashine hizo zitawafaa kipindi chote mpaka ligi itakapoanza.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPEDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post