Breaking : RAIS SAMIA ATUMBUA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, DC MBARALI, YUMO MWAGENI WA USHETU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa wilaya ya Mbarali, Reuben Ndiza Mfune pamoja na Wakurugenzi Watendaji wanne wa halmashauri ambao ni Msongela Nitu Palela (Musoma), Michael Augustino Matomora (Iramba), Lino Pius Mwageni (Ushetu) na Sunday Deogratius Ndori (Ludewa).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments