MWAMBA AOA WANAWAKE WAWILI SIKU MOJA 
Mwanaume mmoja raia wa Nigeria aliyetambulika kwa jina la Nkanu, amefunga pingu za maisha na wanawake wawili siku moja katika jimbo la Cross River.

Nkanu aliwaoa Mary na Jennet siku moja katika sherehe ya harusi iliyofanyika Jumamosi, Disemba 31, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Bazohure.

Picha za karamu hiyo ya kufana zilipakiwa kwenye mitandao ya kijamii na kuwachangamsha wengi.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments