WAZIRI DKT. GWAJIMA AONGOZA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MAENDELEO


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa bodi ya TGNP Gemma Akilimali akitoa taswira halisi ya namna walivyoweza kukabiliana na ukatili wa kijinsia wakati wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akisoma risala kuhusu namna mtandao huo unavyofanya kazi hasa katika kutetea haki za wanawake na watoto pale wanapofanyiwa ukatili wa kijinsia wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Same Anastazis Tutuba akizungumza kuhusu namna wanavyoshirikiana na TGNP katika kupambana na ukatili wa kijinsia pamoja na kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima kwa ajili ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja mwandamizi wa Amir Abdalah akizungumza kuhusu namna walivyijipanga kushirikia na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ili kuona ni kwa namna gani wanaweza kuoinguza ukatili wa kijinsia kwenye jamii wakati wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Programu za Vijana katika shirika la Childbirth Survival International(CSI) Ester Mpanda akizungumza kuhusu namna wanavyopambana kuinua watoto wa kike kupitia program ya shirika hilo wakati wa kutambulisha ya timu ya Masala Princess kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akiburudika na timu ya wanawake ya Masala Princess iliyochini ya shirika la Childbirth Survival International(CSI) wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Burudani zikiendelea
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akipikea zawadi kutoka kwa Mwenyekitu wa Bodi ya TGNP Gemma Akilimali na Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi wakati wa kogamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau mbalimbali wa masuala ya jinsia wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima alipokuwa anafungua Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya makundi mbalimbali ya kupambana na ukatili wa kijinsia wakati wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments