WABUNGE WAWASILISHA MAONI KUHUSU MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BUNGE LA AFRIKA 'PAP'

Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Seneta. Chief Fortune Charumbira akiongoza Mkutano wa Bunge leo Jumatano Oktoba 26,2022 katika ukumbi wa Bunge la PAP Midrand, Johannesburg Afrika Kusini ambapo Wabunge kupitia Kanda mbalimbali wamewasilisha Maoni yao kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Bunge la Afrika Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post