KUTEKWA KWA MANUFAA YA KIFEDHA

 

       

Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, Nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga  katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichukuliwa watakaopata kibarua siku ile.Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe na mahanjam kweli kweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.


Katika harakati zangu za kupitapita mtaani Kigoma pale,nilishtukia nimekabwa shingoni na watu ambao sikuwajua kabisaa manake kulikuwa mida ya saa kumi alfajiri. Walinitishia kwa bunduki katika zile harakati za kupambana nao,ambapo ilinibidi nitulie nisije nikapoteza uhai kwa kutetea chochote nilichokuwa nacho.

Kwa utulivu ule walinifunga mikono pamoja na macho ili nisiweze kuwatambua kabisa.Walinitia kwenye gari lao ndogo walilokuwa nalo na kuniongoza ambapo sikupajua.Ilikuwa ni safari ndefu ya takribani masaa saba bila kuona wala kujua niliko.

Baada ya safari hiyo gari lilisimama na nikatolewa na kuelekezwa kwenye mgodi mmoja uliojaa giza totoro.Singeweza kujua tofauti ya nilipokuwa nimefungwa na baada ya kufunguliwa.Ni swala ambalo lilinitia kiwewe sana kwani sikuweza kuelewa sababu ya wao kuyafanya walioyafanya kuniteka nyara.

Walipigia familia yngu simu na kuwaagiza watume kima cha shilingi Millioni mbili unusu.Jamani nilijiuliza maswali mengi sana nisipate majibu kwani familia yangu ilikuwa ni familia yenye ulofa wa ajaabu kiasi kwamba kupata chakutia kinywani ilikuwa matanga.


Sikupewa hata fursa ya kuweza kusemezana na wazazi wala mtu yeyote wa jamii yangu.Nilihangaishwa kwa takribani siku nane sehemu ambazo mpaka wa leo sijawahi kujua nilikokuwa.Wazazi wangu upande wa pili mawazo yamewajaa hawana mbele wala nyuma wasione mwanga,na wasijue iwapo nipo mzima ama nishatolewa uhai na wahuni wale.

Ilifikia kiwango kwamba wakaanza kuchangisha fedha ilmradi niweze kurejea nyumbani siku moja ya masiku manake walikuwa tayari wamekata tamaa.Baada ya siku nne za mchango,waliweza kupata shilingi laki mbili unusu pekee.Kwa vile mkono mtupu siku zote haulambwi,walipiga ile nambari ya wale vimada  na kujaribu kuwaeleza hela walizokuwa nazo kwa muda ule lakini walidinda kwa muda kabla ya baadae kukubali kima kile.

Wazazi wangu  walidhani yamekwisha na kwamba mwanao angeachwa huru lakini mambo yakawa ndivyo sivyo,kwani walikula pesa bila hata kuniwacha huru wala kuniwezesha kusema na jamii yangu.

Swala hili liliwakosesha wavyele wangu usingizi sana wasiweze hata kujisaidia kwa lolote tena,kwani jamii ilichukulia kuwa fedha walizochanga hazikupeanwa kwa wahusika kwani sikuwa nimeachwa huru.


Ama kweli Mungu si Athumani siku moja mamaangu akipiga soga na shogake mmoja pale kibandani,alimuelezea kuhusu daktari mmoja mashuhuri nchini Tanzania wa Kiwanga doctors anayeweza kutibu maradhi mbalimbali na akamwagiza ajaribu labda huenda angepata suluhu ya matatizo yake.


Lakini mamangu mzazi hakuweza kumuelewa kabisa wakati ule lakini shogake alizidi kufuatilia kuona kuwa amejaribu daktari huyo kwani aliamini pana mwanga kwake.Kutokana na msukumo wa yule mwanadada,aliazimu kujaribu shingo upande tu bila hata matumaini ya kuwa lingetokea lolote jema.Daktari alimpa siku mbili ambapo baada ya hapo wale wahuni wenyewe walinirejesha mpaka nyumbani kwetu na kuomba msamaha sana na hata kulipa hela walizotumiwa mara dufu.Wazazi wangu waliwasamehe kwani hawakutaka kulipa uovu kwa uovu.

Kiwanga doctors wana uwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile Ugonjwa wa moyo  msukumo wa damu,saratani miongoni mwa mengine.Vile vile wanatoa huduma kama vile ,kupata kazi,kulinda mali,na  Kunongesha mapenzi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965     

     E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com.

 

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments