MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA ZA UCHIMBAJI MADINI BARRICK YAVUTIA WANANCHI WENGI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA

Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick waliopo katika maonesho hayo katika picha ya pamoja.
***

Kampuni ya madini ya Barrick, inashiriki katika maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam, ambapo moja ya kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea banda lake lililopo katika banda la STAMICO ni maelezo kuhusiana na uchimbaji madini kwa kutumia teknolojia za kisasa za kimataifa sambamba na uzingatiaji wa usalama katika maeneo yake ya kazi.
Afisa Utawala wa Barrick Tanzania ,Boniface Mlenga, akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba saba.
Afisa Utawala wa Barrick Tanzania ,Boniface Mlenga, akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba saba.
Afisa uhusiano wa Barrick Tanzania, Abella Mutiganzi , akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba Saba
Wageni mbalimbali waliotembelea banda la maonesho ya Barrick wakipatiwa maelezo ya shughuli za kampuni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post