KWAYA YA MT. KIZITO- MAKUBURI ILIVYOWABURUDISHA WAKENYA

Kwaya ya Mt. Kizito-Makuburi jijini Dar es Salaam, Tanzania wakitoa burudani wakati wa tamasha la KMK Gala lililofanyika jijini Nairobi nchini Kenya na kuhudhuriwa na umati ya watu.


Kwaya hiyo ilikuwa nchini Kenya kwa ziara kuanzia 31 Mei hadi 6 Juni 2022. Pamoja na mambo mengine wakiwa huko walishiriki misa maalum ya kuombea uchaguzi wa Taifa hilo utakaofanyika Agosti 2022.

Kwaya ya Mt Kizito Makuburi ya jijini Dar es Salaam ikiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la KMK Gala lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Nairobi.

Picha zote na KMK DigitalDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post