TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Sunday, May 1, 2022

TTB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Bodi ya Utalii (TTB) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

No comments:

Post a Comment

Pages