NIC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM


Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa wamebeba ujumbe unaosema "MISHAHARA NA MASLAHI BORA KWA WAFANYAKAZI NDIO KILIO CHETU ,KAZI IENDELEE".Maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022. Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Bima la Taifa NIC , waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments