RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA CUF PROF. IBRAHIM LIPUMBA, IKULU DAR - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Post Top Ad

Monday, May 16, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA CUF PROF. IBRAHIM LIPUMBA, IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages