Breaking

Post Top Ad

Friday, May 13, 2022

MSANII CHABADE KUTOKA RWANDA ARUDI KWA WINE

Daddy Chabade a.k.a Chabade
Daddy Chabade a.k.a Chabade ni msanii wa muziki kutoka nchini Rwanda ambaye harakati zake za kimuziki na maisha yake yameegamia nchini Finland.

Chabade ni msanii wa muziki, mwandishi wa nyimbo na pia ni  mtu mwenye ndoto kubwa ya kufanya kazi na wasanii kutoka Afrika Mashariki ikiwemo nchini Tanzania bila kusahau watayarishaji wa muziki kutoka Tanzania.

Chabade baada ya kuachia ngoma yake ya TWIKA mwaka uliopita sasa amerejea tena naazi yake mpya ambayo ameipa jina la WINE.

Video ikiwa imeongozwa na Jayrder .

Tazama Video hapa

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages