Breaking

Post Top Ad

Friday, April 15, 2022

Video Mpya : KISIMA - TUMA


Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoa wa Simiyu anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Tuma'...Tuma ni miongoni mwa nyimbo kadhaa mpya alizoachia...Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chini

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages