Post Top Ad
Friday, April 15, 2022
Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - SELINA
Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka Bariadi Mkoa wa Simiyu anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Selina..Huu ni miongoni mwa nyimbo kadhaa mpya alizoachia..Video hii imetengenezwa Mbasha Studio na Director Migera ..Tazama Hapa chini ..Tazama Hapa chini
Tags
burudani#
nyimbo za asili#
Share This
About Malunde
nyimbo za asili
E.E.M
burudani,
nyimbo za asili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.
No comments:
Post a Comment