Picha : SHUWASA YAFUTURISHA WATEJA NA WADAU WA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA SHINYANGA...YATOA ZAWADI KWA WATOTO

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imewafuturisha Wateja na Wadau wa SHUWASA Shinyanga ikiwa ni mwendelezo wa utamaduni wa Mamlaka hiyo kuungana na Waumini wa Dini ya Kiislamu wanaoishiriki Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Hafla ya Futari hiyo imefanyika usiku huu Jumatatu Aprili 25,2022 katika ofisi za SHUWASA na kuhudhuriwa na wateja na wadau wa SHUWASA wakiwemo Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Buhangija kilichopo Mjini Shinyanga ambapo SHUWASA pia imekabidhi zawadi kwa watoto hao.

Akizungumza wakati wa Futari hiyo, Sheikh Massoud Ramadhani Mloye kutoka Msikiti wa Istiqama Lubaga Mjini Shinyanga ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani wilaya ya Shinyanga ameushukuru uongozi wa SHUWASA kwa kuandaa Iftari hiyo na kuendelea na utamaduni wake wa kuandaa futari katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sheikh Massoud Ramadhani Mloye kutoka Msikiti wa Istiqama Lubaga Mjini Shinyanga ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani wilaya ya Shinyanga akiushukuru uongozi wa SHUWASA kwa kuandaa Iftari leo Jumatatu Aprili 25,2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katikati kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya SHUWASA Bi. Mwamvua Jilumbi akikabidhi zawadi kwa Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Buhangija kilichopo Mjini Shinyanga 

Sheikh Massoud Ramadhani Mloye kutoka Msikiti wa Istiqama Lubaga Mjini Shinyanga ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani wilaya ya Shinyanga na Sheikh Hamad Kanyuguta (kushoto) wakiomba dua wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa Wateja na Wadau wa SHUWASA.
Kaimu Mkurugenzi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola akiongea jambo na Sheikh Massoud Ramadhani Mloye kutoka Msikiti wa Istiqama Lubaga Mjini Shinyanga ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani wilaya ya Shinyanga wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa Wateja na Wadau wa SHUWASA.
Kaimu Mkurugenzi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola akiongea jambo na viongozi wa dini ya Kiislamu wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa Wateja na Wadau wa SHUWASA.
Kaimu Mkurugenzi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola (kulia) akiongea jambo na Msanii wa Filamu Maarufu Songoro Gaddafi ambaye ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa Wateja na Wadau wa SHUWASA.
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wakiwa kwenye hafla ya Futari
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).

Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Wadau na wateja wa SHUWASA wakipata Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Wadau na wateja wa SHUWASA wakiendelea kula Futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA).

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments