Karibu WANDAMAN HOTEL – mfalme mpya wa huduma bora jijini Shinyanga.Tupo Mwasele– Shinyanga Mjini, mkabala na Musoma Food, tukikuletea uzoefu wa kipekee wa mapumziko, mikutano na malazi ya hadhi ya juu katika mazingira tulivu, safi na ya kisasa.
✨ Huduma Zetu Kuu:
🛏️ Vyumba vya kulala vya kisasa, safi na vyenye hadhi
🍽️ Huduma bora na ladha ya kipekee ya vyakula
🌳 Mandhari ya kuvutia, hewa safi na mazingira tulivu (tumezungukwa na miti)
🤝 Wahudumu wakarimu, waaminifu na wenye weledi wa hali ya juu
🧑💼 Vyumba vya Executive kwa mikutano na vikao maalum
🏢 Kumbi za mikutano kwa semina, warsha na mikusanyiko mbalimbali
📍 Mahali: Mwasele – Shinyanga Mjini
👉 Mkabala na Musoma Food
💼 Iwe ni kwa mkutano wa kikazi, safari, mapumziko binafsi au kuwahudumia wageni wako muhimu,
WANDAMAN HOTEL NDIO CHAGUO SAHIHI!
📞 Mawasiliano Yetu:
📌 Street: Mwasele
📌 Block No. 533
☎️ Simu:
+255 770 601 666
0757 281 271
0672 166 342
0754 484 965
📧 E-mail: wandamanhoteltz@gmail.com
📸 Instagram: wandamanhotel
📘 Facebook: Wandaman Hotel
✨ WANDAMAN HOTEL – Hadhi, Utulivu na Huduma Bora. ✨












































Social Plugin